Afisa Habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu akiteta jambo na mwandishi na mpiga picha wa magazeti mama Habari leo na Daily News Mroki Mroki mwishoni mwa wiki katika Hotel ya Giraffe iliyopo jijini Dares salaam wakati wa kutoa zawadi kwa washiriki na washindi wa shindano la Vodacom Miss Tanzania ambapo Mrembo Miriam Gerald ndiye aliyeibuka mshindi wa Vodacom Miss Tanzania 2009 mwishoni mwa wiki iliyopita.
WADAU WAKITETA HIVI KARIBUNI JIJINI!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment