WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA LEO!

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akibadlishana mawazo leo asubuhi mjini Dodoma na Msemaji wa Kambi ya Upinzani Mheshimiwa Hamad Rashid wakati Kikao cha ishirini na nane cha Mkutano wa Ishirini unaoendelea mjini Dodoma.
(Picha na Tiganya Vincent)-MAELEZO-Dodoma.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment