Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi Omar Yusuf Mzee(kushoto) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Dole Mheshimiwa Juma N'hunga (kulia) jana nje ya ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kumalizika kwa kipindi cha maswali na majibu wakati wa kikao cha ishirini na nane cha Mkutano wa Ishirini unaoendelea mjini Dodoma.

Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dodoma.
0 comments:
Post a Comment