Rais Jakaya Mrisho Kikwete akirudisha fomu za kuwania urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM kwa katibu wa CCM Yusuf Rajab Makamba katika ofisi za makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo asubuhi.
(Picha na Freddy Maro)
Kikwete akiwahutubia wanachana wa CCM baada ya kurudisha fomu mjini Dodoma leo asubuhi.
Katibu mkuu wa CCM Yusuf Makamba akihakiki fomu alizorudisha Rais Jakaya Kikwete za kuwania urais kwa tiketi ya CCM mjini Dodoma leo asubuhi.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mamia ya wanachama wa CCM waliojitokeza kushuhudia akirudisha fomu za kuwania urais kwa tiketi ya CCM leo asubuhi katika makao makuu ya CCM mjini Dodoma leo asubuhi.
0 comments:
Post a Comment