Rais Kikwete ahudhuria sherehe za kumsimika Dr. Akiri Askofu Mpya Tarime!!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Dr Raphael Mwita Akiri Askofu wa kwanza wa Dayosisi mpya ya Tarime ya Kanisa la Kianglikana Tanzania muda mfupi baada ya sherehe za kumsimika askofu huyo zilizofanyika mjini Tarime leo asubuhi.Kushoto ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Kianglikana Tanzania Askofu Valentino Mokiwa(picha na Freddy Maro)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment