MO AZINDUA SHINA LA WAKEREKETWA WA CCM..!!!

Pichani ni Mh.Mohammed Dewji Mbunge wa Singida Mjini akikata Utepe Kuashiria Uzinduzi wa Shina la Pili la wakereketwa wa CCM,tawi la Mitunduruni alipofanya ziara ya kukagua Vikundi jimboni mwake.
Mh.Mohammed Dewji akipandisha bendera ya CCM baada ya kuzindua Shina hilo kwa ajili ya wakereketwa wa CCM.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment