VODACOM TANZANIA YAMPONGEZA MISS KINONDONI!!

Afisa udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahimu Kaude akimpa mkono wa hongera Miss kinondoni Alice Lushiku baada ya kuibuka kuwa mshindi wa shindano hilo,Vodacom ni wadhamini wakuu wa Miss Tanzania.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment