FULLSHANGWE YATEMBELEA BANDA LA BUNGE!!

Mdau David Mwandumbya kulia wa Ofisi ya Bunge akiwa na wakuu na maafisa mbalimbali wa Banda la Bunge leo wakati wa maonyesho ya 34 ya biashara ya kimataifa yaliyozinduliwa leo kwenye viwanja vya Mwlimu J.K.Nyerere barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam, maonyesho hayo yanaendelea mpaka julai 10 2010.
Wadau kutoka banda la Bunge la Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja leo baada ya FULLSHANGWE kuwatembelea hapo ili kupata maelezo mbalimbali juu ya shughuli za bunge.



You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment