FIESTA JIPANGUSE 2010 'RRRRRAH' NDANI YA ZANZIBAR!

Nikiwa chomboni tayari kwa kuelekea Zanzibar kushuhudia shoo kabambe ya Fiesta Jipanguse 2010.
Kamanda wa FULLSHANGWE nikiwa ndani ya Bustani ya Forodhani mjini Zanzibar nikijpendlea kimaakuli zaidi, yaani ni rrrrrraah!
Mwandishi wa gazeti la The African na Mdau wa FULLSHANGWE Siddy Mgumia akijichagulia cha kumfaa kujiburudisha saa chache kabla ya kuanza kwa tamasha la Fiesta Jipanguse 2010 'Rrrrrah' ndani ya Ngome Kongwe Zanzibar jioni ya leo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment