ASKARI WA KIKE AJIPIGA RISASI MKOANI MARA!!

Askari wa kike kutoka huko Tarime aliyetajwa kwa jina moja la Suzan amejipiga risasi baada ya kuelekeza vibaya msafara wa Rais Jakaya Kikwete ambaye yuko Mkoani Mara kwa ziara ya kikazi.
Kamanda wa polisi wa mkoa wa kikanda Rorya kamanda Khalfan amethibitisha kutokea kwa tukio hilo tukio ambalo limetokea leo na taarifa zinasema madaktari wanaendelea na uchunguzi wa kifo cha askari huyo habari na TBC 1.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment