Afisa Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude akikabidhi zawadi ya begi kwa Esther Kilimba mmoja wa watu waliokwenda kujionea kwa mara ya kwanza filamu mpya ya Twilight Eclipse Movie Premier kwenye ukumbi wa Century Cinemax Mlimani City mwishoni mwa wiki hii.
Filamu hiyo ilidhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania ambapo kampuni hiyo iligawa tiketi kwa wanafunzi wa jijini Dar es salaam katika baadhi ya shule na kupitia redio za Clouds FM na Choice FM kwa wasikilizaji kujibu maswali kupitia vipindi mbalimbali ambapo pia waligawa kofia, mabegi na vitambaa.
Mtaalam wa Habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu akikabidhi zawadi ya begi la Vodacom kwa Mtangazaji wa Redio Clouds Barbara Hassan.
Joseline Kamuhanda kushoto Brand Meneja Bidhaa wa Vodacom Tanzania kulia akizungumza na mmoja wa watu waliokuwa wakisubiri kauingia katika ukumbi wa Century Cinemax Mlimani City ili kuangalia filamu ya Twilight huku akia ameshikilia kofia za Vodacom zilizokuwa zikigawiwa kwa watoto.
0 comments:
Post a Comment