ALICE LUSAHIKO NDIYE MISS KINONDONI!!

Miss Kinondoni 2010 Alice Lushiku akiwa katika picha ya pamoja na warembo washinda katika shindano la Miss Konondoni lililomalizika usiku wa leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam, kulia ni mshindi wa pili Amisuu Malik na mshindi wa tatu ni Irene Hezron.
jokate Mwegelo akimuuliza swali mreiu mbo Edna Kwilasa wakati wa kipindi cha maswali katika shindoafuta Miss Ilala 2010 warembo wengine wakimtazama.

Hii ndiyo tano bara ya Miss Kinondoni kuanzaia kulia ni Caroline Ndembo, Alice Lushiku, Amisuu Malik, Irene Hezron na Edna Kwilasa s wakiwa katika picha ya pamoja.

Warembo wa wanaoshiriki shindano la Redds Miss Kinondoni hivi sasa wako katika shindano la vipaji kwani katika vazi la jioni tayari wameshamaliza hivyo kinachosubiriwa sasa ni kutangaza tano bora ya Redds Miss Kinondoni na burudani inatolewa na African Stars na THT kaeni mkao wa kula baada ya muda tuatawaletea tano bora na mshindi wa shindano hilo katika ukumbi huu wa Mlimani City Jijini Dar es salaam.

Cheki hiyo miondoko ya vazi la jioni.

Hizo zote ni pozi tu wadau.
Sasa warembo wanapita na vazi la ufukweni.

Ubunifu wa vazi la kitenge kama unavyoona mdau.

Vazi la ubunifu pia.

Katika vazi la ubunifu.

Warembo katika shoo ya ufunguzi wa shindano hilo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment