Mrembo huyu wa Redds Miss Ilala alitia fora kwa kuimba wakati wa onesho la vipaji lililofanyika kwenye Hoteli ya Lamada usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam shindano la Miss Ilala linatarajiwa kufanyika jumamosi hii kwenye ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es salaam ambapo burudani itatolewa na bendi maarufu ya jijini FM Academia.
Warembo wa Miss Temeke pia walikuwepo katika onesho hilo la vipaji.
Warembo wa Miss Temeke pia walikuwepo katika onesho hilo la vipaji.
0 comments:
Post a Comment