Warembo 18 wanaoshiriki mashindano ya kumtafuta mlimbwende wa Kanda ya Ilala, watatembelea vyumba vya habari vya magazeti mbalimbali kujifunza jinsi magazeti yanavyotengenezwa na kukutana na waandishi wa Habari na wahariri ambao wamekuwa wakiwasikia au kuwasoma bila kuwajua. Sisi tunajitahidi kuwafundisha warembo wetu kuwaona waandishi wa habari kama marafiki na watu wa kushirikiana nao na wala si maadui kwa kudhani kuwa watawaandika vibaya. saa nne watakuwa magazeti ya serikali Dailynews na habari leo, saa tano, jambo leo halafu watakwenda Business times na kumalizia Mwananchi Communications. Kesho wataendelea na ziara hiyo.
WAREMBO WA REDDS MISS ILALA KUTEMBELEA VYOMBA VYA HABARI LEO!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment