Balozi Kupela azungumia miaka 35 ya uhuru wa msumbiji!!

KBBalozi wa Msumbiji nchini Tanzania Amour Zacarias Kupela (kulia) leo jijini Dar es salaam ameongea na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya kusherehekea miaka 35 ya Uhuru wa Msumbijiambayo itaadhimishwa kesho (june 25, 2010.) Mwengine ni Afisa wa Ubalozi wa Msumbiji nchini (1 st Secretary )Rashide Ussuale. Pamoja na kuzungumzia siku ya maadhimisho ya Uhuru wa MSUMBIJI, Balozi Kupela amezungumzia masuala ya mafanikio ya miradi mabalimbali zikiwemo nyanja za kuinua uchumi. miundombinu,kilimo,madini, utalii,huduma za afya,elimu pamoja na vita vya kupambana kuondoa umaskini .
Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment