MMOJA KATI YA HAWA ANAWEZA KUWA REDDS MISS ILALA 2010!!

JINA: CYNTHIA BAVOUMRI: Miaka 23ELIMU: Mhitimu wa Chuo kikuuKAZI: MjasiliamaliLUGHA: Kiswahili na KingerezaMATARAJIO:Mjasiliamali
Hawa ni baadhi ya warembo wanaotarajiwa kuchuana katika shindano la Redds Miss Ilala litakalofanyika kwenye ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es salaam jumamosi Juni 26 Je? ni yupi ataibuka kideda katia hawa.

JINA: BAHATI CHANDOUMRI: Miaka 18ELIMU: Grade 11 High SchoolKAZI: MwanachuoLUGHA: English,Amharic na Kiswahili KidogoMATARAJIO:Mwenye Mafanikio

JINA: HARRIETH JOSEPH MULUMBAUMRI: Miaka 20ELIMU: Kidato cha NneKAZI: HanaLUGHA: Kiswahili na KingerezaMATARAJIO:Muhudumu wa Ndege
JINA: NEEMA ALLEN
UMRI: Miaka 18ELIMU: Kidato cha NneKAZI: MwanachuoLUGHA: Kiswahili na KiingerezaMATARAJIO:Meneja Uhusiano
JINA: CELINA WANGUSUUMRI: Miaka 21ELIMU: Kidato cha NneKAZI: SaloonLUGHA: Kiswahili na KiingerezaMatarajio: Kuwa mfanyabiashara
JINA: Lilian Massam UMRI Miaka 18 ELIMU: Elimu ya ChuoKAZI: Mwanachuo TSJLUGHA: Kingereza na KiswahiliMATARAJIO:Mtayarishaji wa Vipindi kwenye Radio na Luninga
JINA: CONSOLATA LUKOSIUMRI: Miaka 20 ELIMU: Kidato cha SitaKAZI: Natarajia kujiunga na Chuo KikuuLUGHA: Kiswahili na English
MATARAJIO:Mfanyabiashara na Mwanamitindo

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

2 comments:

  1. mbona hukuwaleta wote mdau???

  2. si yeye kiisha chagua wa kwake? wewe unataka nini zaidi!! wewe kula ulichopewa tu

Post a Comment