Mkurugenzi wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Leonard Thadeo(kulia)akiwakabidhi cheti cha shukurani Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Nector Foya (kushoto) Mtaalam wa Mambo ya Habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu (katikati) kwa niaba ya kampuni yao kwa kudhamini semina ya wahariri wa habari za michezo iliyofanyika kwa muda wa siku mbili iliyoandaliwa na kampuni ya Keen Arts kwenye ukumbi wa hoteli ya Giraffe Ocean View Resort, Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Leonard Thadeo akimkabidhi Mhariri wa Michezo wa Sahara Communication Star TV Tom Chilala cheti cha kuhudhuria semina ya wahariri wa habari za michezo iliyofanyika kwa muda wa siku mbili iliyoandaliwa na kampuni ya Keen Arts na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania, kwenye ukumbi wa hoteli ya Giraffe Ocean View Resort, Dar es Salaam

Mkurugenzi wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Leonard Thadeo akimkabidhi Mwandishi mwandamizi wa Michezo wa Ghazeti la Habarileo Zena Chande cheti cha kuhudhuria semina ya wahariri wa habari za michezo iliyofanyika kwa muda wa siku mbili iliyoandaliwa na kampuni ya Keen Arts na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania, kwenye ukumbi wa hoteli ya Giraffe Ocean View Resort, Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Leonard Thadeo akimkabidhi Mhariri wa Michezo wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten Peter Shadrack cheti cha kuhudhuria semina ya wahariri wa habari za michezo iliyofanyika kwa muda wa siku mbili iliyoandaliwa na kampuni ya Keen Arts na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania, kwenye ukumbi wa hoteli ya Giraffe Ocean View Resort, Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment