Hapa wakiwa jukwaani wakikamua
The Ngoma Africa band aka FFU
katika makamuzi ya kutisha Internationals Africa festival,Tübingen City,
Washabiki wa mziki nchini ujerumani walijipendelea kwa kudatishwa akili na
muziki kutoka kwa bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa band"
siku ya Jumamosi 5.juni.2010, ambako bendi hiyo ilitingisha jukwaa na kufanikiwa kuwatia
kiwewe washabiki katika onesho hilo,huko mjini Tübingen,Ujerumani.
Ngoma Africa Band wanatamba na singo CD yao mpya "Jakaya Kikwete 2010"

wasilikilize at www.myspace.com/thengomaafrica
0 comments:
Post a Comment