Waziri mkulo atoa taarifa ya hali ya uchumi bungeni -DODOMA

Waziri wa `Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo wakati akiwasili Bungeni kwa ajili kuwasilisha Taarifa ya Hali ya uchumi wa taifa kwa mwaka 2009 na malengo ya uchumi mjini Dodoma leo katika kipindi cha muda wa kati (2010/11-2012/13)
Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment