Mmoja wa washiriki wa shindano la kumtafuta Vodacom Miss Pwani 2010 Margareth Akonaay akipozi kwa picha wakati wa mazoezi yao yanyoendelea katika Hoteli ya Ja Kijitonyama , Dar es Salaam jana. Shindano hilo linatarajiwa kufanyika Juni 12 mwaka huu mjini Kibaha mkoani Pwani.
Washiriki tisa wa shindano la kumtafuta Vodacom Miss Pwani 2010 wakifanya pazoezi katika ukumbi wa Hoteli ya Raj, Kjitonyama, Dar es Salaam jana. Shindano hilo linatarajiwa kufanyika Juni 12 mwaka huu mjini Kibaha mkoani Pwani.

0 comments:
Post a Comment