MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI DODOMA!!

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mbunge wa Nyan’ghwale, James Musalika waki toka kwenye ukumbi wa Buge Mjini Dodoma Juni 8, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mbunge wa Mji Mkongwe, Ibrahim Muhammad Sanya (kulia) akiteta na Mbunge wa Viti Maalum Zuleikha Yunus Haji katika Semina kwa Wabunge kuhusu Umuhimu wa Utambuzi na USajili wa Watu iliyofanyika kwenye ukumbi wa MSekwa Mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Ilala Mussa Azan Zungu, kwenye jengo la Utawala la Bunge Mjini Dodoma Juni



You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment