Mhariri wa gazeti la Mwanchi Communication akiuliza swali wakati wa semina ya wahariri wa habari za michezo inayofikia tamati leo iliyoandaliwa na kampuni ya Keen Arts na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania, kwenye ukumbi wa hoteli ya Giraffe Ocean View Resort, Dar es Salaam leo.
Kaimu Mkurugenzi,Idara ya Maendeleo ya Michezo,Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo Juliana Matagi Yasoda akitoa mada wakati wa semina ya wahariri wa habari za michezo inayofikia tamati leo iliyoandaliwa na kampuni ya Keen Arts na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania, kwenye ukumbi wa hoteli ya Giraffe Ocean View Resort, Dar es Salaam leo.

Baadhi ya waandishi waandamizi wa Michezo wa Maghazeti ya Nipashe, Habarileo na Uhuru wakifuatilia semina
iliyoandaliwa na kampuni ya Keen Arts na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania, kwenye ukumbi wa hoteli ya Giraffe Ocean View Resort, Dar es Salaam leo. .

0 comments:
Post a Comment