Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Ernest Mwita Kiaro aliyelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza jana asubuhi.Rais Kikwete yupo Mkoani Mwanza kwa ziara fupi ya siku mbili kukagua shughuli za maendeleo ikiwemo kukagua ujenzi wa Barabara ya Usagara hadi Geita.(picha na Freddy Maro)
Rais Kikwete amtembelea Jenerali Kiaro Bugando!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment