Mashindano ya kuogelea ya Vodacom Tanzania champion yafanyika jijini Dar!

Mtoto Sonia Tumitto(katikatika)akionyesha medali zake alizojishindia baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika mashindano ya wazi ya kuogelea ya Vodacom Tanzania championi yaliyowashirikisha vijana kwa nia ya kuendeleza vipaji hapa nchini leo jijini Dares salaam.,wengine ni washindi wa pili Dhashrrad Magesraran(7 kushoto) na Reine Opperman(na mpiga picha wetu)

Katibu Mkuu wa Chama cha kuogelea Tanzania Noel Kiunsi akimpongeza Amal Bulengo baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa mita 100 katika mashindano ya wazi ya kuogelea ya Vodacom Tanzania championi yaliyowashirikisha vijana kwa nia ya kuendeleza vipaji hapa nchini leo jijini Dares salaam.katikati Rishi Somaiya (na mpiga

Baadhi ya waogeleaji wakichumpa kwa uogeleaji wa kinyumenyume katika mashindano ya wazi ya kuogelea ya Vodacom Tanzania championi yaliyowashirikisha vijana kwa nia ya kuendeleza vipaji hapa nchini leo jijini Dares salaam. (na mpiga picha wetu)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment