Rais Kikwete akichukua fomu Dodoma!!

Katibu Mkuu wa Chama Cha mapinduzi Yusuf Makamba akimkabidhi foumu ya kugombea Urais, Rais Jakaya Mrisho kikwete katika makao makuu ya CCM mjini dodoma leo asubuhi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akionesha fomu kwa wanachama wa CCM muda mfupi baada ya kuichukua mjini Dodoma leo asubuhi.Pemebeni kulia akipiga makofi ni mke wa Rais Mama Salma Kikwete.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa na baadhi ya wanawe wakati Rais Kikwete akichukua fomu za ugombea Rais katika makao makuu ya CCM Mjini Dodoma leo asubuhi
(picha na Freddy Maro)


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment