KAKA ZANGU. JUMAMOZI NILIKUWA HUKO KIAMBU KATIKA HOTEL YA PARADISE LOST JIJINI NAIROBI NIKAKUTANA NA HII HARUSI AMBAYO ILINIVUTIA KUPIGA PICHA. KUTOKANA NA HARAKA ZA KUWAHI KAZI ZINGINE SIKUPATA MUDA WA KUCHUKUA MAJINA YA MAHARUSI. NIMEZITUMA HIZI PICHA AMBAZO STYLE YAKE NIMEIPENDA. MAPOZI YAO YA KUPIGA PICHA KWA KWELI YALINIFURAHISHA. NAOMBA MUWAONYESHE WATANZANIA WANAOTARAJIA KUFUNGA NDOA HIVI KARIBUNI ILI NAO WAIGE HIZO SYLE KAMA HAWAZIJUI.
DUH POZI HIZI ZA PICHA UFUKWENI MWA BAHARIYA HUKO KWAO (BWAWA) ZIMENIFURAHISHA SANA NIKAONA NIWAWEKEE WADAU WANGU NANYI MPATE KUONA MAMBO MAKUBWA YA WANANDOA WA NAIROBI KENYA WANAVYOJIACHIA WAKATI WA KUPIGA PICHA KATIKA HARUSI ZAO.

0 comments:
Post a Comment