Rais Jakaya Kikwete (kulia ) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Nehemiah Mchechu leo asubuhi Mchechu ambaye aliteuliwa na rais hivi karibuni kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la taifa NHC alikwenda kukutana na rais ikulu na kufanya naye mazungumzo. Rais Jakaya na Mkurugenzi Mkuu wa NHC Nehemiah Kyando Mchechu wakibadilishana mawazo Ikulu leo.
RAIS JAKAYA AKUTANA NA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA NYUMBA IKULU!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment