Mchezo kati ya timu ya taifa Taifa Stars na timu ya taifa ya Brazil hivi sasa ni kipindi cha pili na tayari taifa stars wameshafingwa magoli manne yaliyofungwa katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo na kipindi cha pili
Hata hivyo Taifa Stars inaonyesha uhai na baada ya kupata goli la kufutia machozi lililofungwa na Jabir Azizi na kwamba si timu ya kubeza kwani imekuwa ikifika mara kwa mara langoni mwa Brazil lakini umaliziaji umekuwa si mzuri sana .
Hebu tuisubiri kipindi hiki cha pili ili tuone mpira unabadilika kwa kiwango gani kwa kila timu na mwisho wa mchezo kinatokea nini .
0 comments:
Post a Comment