Mnyange wa Miss Tanga 2010 Anna Kiwambo akiwa katika uso wa furaha punde tu baada ya kutangazwa kuwa mshindi katika mchakato huo uliofanyika katika hoteli ya Tanga Beach Resort iliyopo Sahare, Miss Tanga 2010 imeandaliwa na 5 Brothers Entertainment,mshindi wa pili alikuwa ni Jari Mure, wa tatu ni Zuleha Mrisho.
Tano Bora ya Miss Tanga 2010 wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya majaji wa shindano hilo kutangaza walioingia fainali.
Tano Bora ya Miss Tanga 2010 wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya majaji wa shindano hilo kutangaza walioingia fainali.
0 comments:
Post a Comment