Baadhi ya vijana wa mjini Mwanga Mkoani Kigoma mwishoni mwa wiki walikutwa wakisoma magazeti mbalimbali yanayochapishwa jijini Dar es salam.Pamoja na usemi kwamba Kigoma ni Mwisho wa reli lakini huduma ya magazeti inapatikana na wakazi wake hufaidika na kupata taarifa za matukio mbalimbali ya taifa na kimataifa kupitia magazetini.
(Picha na Mwanakombo Jumaa) -MAELEZO.
Tatizo la ajira ya watoto kutumikishwa katika kuuza biashara badala ya kuendelea na masomo bado linaendelea na linazidi kubwa katika jamii.hivi karibuni nimekutana na watoto hawa mjini Kigoma wakiuza ndizi katika mitaa ya mjini Kigoma badala ya kwenda shule kwa masomo .

0 comments:
Post a Comment