Jakaya Kikwete achukua fomu kwa mbwembwe Dodoma!!

Rais Jakaya Kikwete akichukua fomu ya Kugombea Urais kupitia Chama cha Chapinduzi CCM leo asubuhi mjini Dodoma shughuli hii ilikuwa Live katika mtandao kupitia USTREAM.TV hebu nenda kaone kwa kubofya
Umoja wa Vijana wa CCM na Tshirt maalum za shughuli hii

Kenneth Nolo, Ridhiwani Kikwete, Malisa wakijiandaa kumpokea mgombea aje kuchukua fomu.
Mh. Chiligati na Mh. Mkuchika wakipanga mipanngo ya shughuli ya uchukuaji wa fomu.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment