Werema Atembelea Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT)

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Fredrick Werema akipokea ripoti mbalimbali zilizofanyiwa kazi na tume ya kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT) kutoka kwa katibu Mtendaji wa Tume Japhet Sagasii wakati alipofanya ziara katika ofisi za tume hiyo Dar es Salaam, wengine kulia ni Naibu Katibu Mtendaji Mapitio Angela Bahati na Naibu Katibu Mtendaji Utafiti Adam Mambi


Mwanasheria Mkuu Werema akiongea na Maofisa Sheria wa Tume


Mwanasheria Mkuu wa Serikali Werema wa pili kulia akiwa katika picha ya pamoja wa kwanza kulia Kaimu Mkuu wa Utawala wa Tume Zakariyya Kera, Katibu Mtendaji wa Tume Japhet Sagasii, Msaidizi wa Mwanasheria Mkuu Yohana Masara na Naibu Katibu Mtendaji Utafiti Adam Mambi
Picha na Ofisa Habari wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Munir Shemweta

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment