Waziri wa Nishati na Maji wa Sierra Leone Profesa Ogunlade Davidson akitoa ufafanuzi leo mjini Abidjan kwa wajumbe wa Mkutano wa 45 wa ADB juu ya kuwa mkakati wa Afrika wa kukabiliana na tabia nchi badala ya kutegemea mataifa makubwa. Kulia ni Naibu Mkurugenzi Mkuu kutoka Wizara ya Fedha ya Afrika Kusini Bibi Mmakgoshi Phetla_le Khethe.
Picha na Tiganya Vincent, Abidjan
Picha na Tiganya Vincent, Abidjan
Waziri wa Nishati na Maji wa Sierra Leone Profesa Ogunlade Davidson akitoa mada leo mjini Abidjan juu ya nchi za Afrika zinavyoweza kukabiliana na mabadiliko ya Tabia Nchi kupitia ufadhili wa Benki ya maendeleo ya Afrika(ADB).
Bendera za nchi mbalimbali zinazoshiriki mkutano wa 45 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) ulianza jumatatu wiki hii mjini Abidjan na utafunguliwa kesho( Alhamis) na Rais wa Ivory Coast Laurent Gbagbo .

0 comments:
Post a Comment