Kaimu Kamanda wa Vijana wa CCM Taifa, Kingunge Ngombale Mwiru, Kingunge Ngombale Mwiru akimtawaza, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuwa Kmamanda wa Vijana wa CCM, Mkoa wa Rukwa, kwenye uwanja wa Kashaulili Mjini Mpanda
Kaimu Kamanda wa Vijana wa CCM Taifa, Kingunge Ngombale Mwiru akizungumza baada ya kumtawaza, Mjumbe wa Kamati Kuu wa CCM, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuwa Kamanda wa Viajana wa CCM wa Mkoa wa Rukwa , kwenye uwanja wa Kashaulili Mjini Mpanda
Wanachama wapya wa CCM wakiapa baada ya kukabidhiwa kadi Mpya na Mjumbe wa Kamati Kuu, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika Mkutano uliofanyika kwenye uwanja wa Kashaulili Mjini Mpanda
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa zamani wa Mpanda, Mzee Edward Nsalamba wakati alipokwenda kumsalimia nyumbani kwake eneo la Kashaulili Mjini Mpanda May 17, 2010. Wengine kutoka kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda, Mbunge wa Viti Maalum Janet Masaburi, Mbunge wa Sumbawanga Mjini , Paul Kimiti na Mbunge wa Kuteuliwa na Kaimu Kamanda wa Vijana wa CCM Taifa, Kingunge Ngombale Mwiru
0 comments:
Post a Comment