Hongera sana mdogo wangu Ndinhesya Peter Mwotella kwa kumaliza chuo cha ualimu nakutakia kazi njema mara utakapoanza kazi ukawe mwalimu mwema kwa wanafunzi wako nakutakia maisha mema na mafanikio katika maisha yako ya siku zote.
Mwalimu Ndinhesya Peter Mwotella akiwa katika picha ya pamoja na shangazazi zake kulia Ivony John Bukuku na Diana John Bukuku pamoja na mdogo wake Tusekile Peter Mwotela wkati wa mahafali ya chuo cha ualimu Vikindu yaliyofanyika jana

1 comments:
John nifikishie salam za heko na pongezi kwa kuhitimu dada Ndinhesya. Namtakia mafanikio mema katika kazi yake!
Post a Comment