LEO ASUBUHI NILIPOFIKA MITAA YA SAMORA HAMAD NIKAMFUMA RAFIKI YANGU MMOJA AKIPATA KIFUNGUA KINYWA HUYU SI MWINGINE NI MDAU MAKINI JAFARY IDD AKIJIPIGILIA CHAI NDIZI NA SAMAKI WA KUKAANGA NIKICHEKI MEZA YAKE KITI DU! NIKAANGUA KICHEKO TEH TEH TEH , LAKINI YEYE AKANIAMBIA HIVI "MDAU HAPA MJINI UKIWA NA AIBU UTAKUFA NA NJAA SHAURI YAKO EH" AKAMALIZA HUKU AKIENDELEA KUTWANGA CHAI YAKE BILA WASIWASI.
MADU JAFARY IDD NA KIFUNGUA KINYWA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment