Waziri Batilda Buriani na Balozi wa Marekani nchini Alfonso E. Lenhardt!!

Baalozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Alfonso E. Lenhardt kushoto akipata maelezo ya kipeperushi kinachoonyesha jinsi miundombinu ya Barabara ilivyoharibiwa vibaya na mvua zitokanazo na mabadiliko ya Tabia Nchi kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mh.Dkt Batilda Salha Burian, alipotembelea Ofisini kwake mtaa wa Luthuli Jijini dar es Salaam Leo, (Picha na Evelyn Mkokoi wa Ofisi ya Makamu wa Rais)
Kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Raisi Mazingira Mh. Dkt Batilda Salha Burian, kushoto ni Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Alfonso E. Lenhardt, kwa pamoja wakionyesha zawadi Ambayo Mh waziri Batilda alimkabidhi alipotembelea Ofini kwake Mtaa wa Luthuli jijini Dar es salaam leo. (Picha na Evelyn Mkokoi wa Ofisi ya Makamu wa Rais)


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment