Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia masuala ya Mazingira Mh. Dkt Batilda Salha Burian, akimsikiliza Bw. Alex Kajumulo mdau wa michezo ambae alikuja kumtembelea Ofisni kwake na kuona namna ambavyo anaweza kuinua michezo katika Mkoa wa Arusha kwa kuifadhili timu ya mpira wa miguu ya mkoani Arusha (Arusha FC) picha na Evelyn Mkokoi wa Ofisi ya Makamu wa Rais.
WAZIRI BATILDA BURIANI AKUTANA NA ALEX KAJUMULO!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment