MAOMBOLEZO YA ALIYEKUWA RAIS WA NIGERIA!

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mh. Dkt Batilda Salha Burian akitia sahihi katika kitabu cha waombelezaji katika ubalozi wa Nigeria kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Nigeria bwana Omar Yaradua. (Picha na Evelyn Mkokoi wa Ofisi ya Makamu wa Rais)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment