Mwenyekiti wa kundi la Maendeleo la Umoja wa Mataifa ( Chair -Un Development Group) na Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo(UNDP Administator) Helen Clark (kulia) akisistiza jambo leo jijini Dar es salaam wakati wa mkutano na waandishi wa habari juu hatua mbalimbali zilizokwishafikiwa na Tanzania katika kutekeleza malengo ya maendeleo ya milenia. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi John Haule.
(Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO)
0 comments:
Post a Comment