Kijana kutoka katika kabila la Wataturu akimchagua binti wa kucheza naye ngoma ya asili ya kabila hilo inayojulikana kama ngoma ya Wataturu leo wakati wa sherehe za maadhimisho ya wiki ya Utamaduni yanayofanyika kitaifa katika Viwanja vya Maadhimisho mkoani Singida.
Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.
Hawa ni vijana wa kike na kiume kutoka kabila la Wataturu wakicheza kwa pamoja ngoma ya asili ya kabila hilo leo mkoani Singida wakati wa Maadhimisho ya wiki ya Utamaduni mwaka huu yanafanyika mkoani Singida yakiongozwa na kaulimbiu “Utamaduni ni kichocheo cha Amani.
1 comments:
Wakuu kuuliza si ujinga. Naomba kuelimishwa. 1. Je, kuna tofauti kati ya Wanyaturu na Wataturu? 2. Je, kuna jamii inaitwa watatuu? Asanteni.
Post a Comment