Katibu Mkuu Wizara ya fedha na Uchumi Ramadhan Kijjah (kushoto) akifafanua jambo leo jijini Dar es salaam wakati wa mkutano kutiliana saini na Ubalozi wa Japani nchini juu ya mradi wa kukabiliana na njaa nchini wenye thamani ya shilingi bilioni 13.8.kulia ni Balozi wa Japani nchini Hiroshi Nakagawa.
Mwandishi Mkuu wa Sheria(CPD) Casmir Kyuki(kulia) akisisitiza jambo leo jijini Dar es salaam wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheri Mkuu wa Serikali. Katikati ni Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju na kushoto ni Katibu wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Evelyine Makalla.
PICHA ZOTE NA TIGANYA VINCENT-MAELEZO-DAR ES SALAAM

0 comments:
Post a Comment