Meneja mradi wa utafiti Mtandao wa Elimu Tanzania Dr. Grace Soko aimongea na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa idara ya habari maelezo leo wakati alipozungumzia utafiti unaotarajiwa kufanywa na taasisi hiyo juu ya vyiwango vya elimu nchini kuzania tarehe 21 mpaka 23 Mei katika wilaya zipatazo 30 na vijiji 20 katika kila Wilaya nchini kote na kuhusisha watoto wenye umri kati ya 5-16.
Amesema tayari watendaji waote wa utafiti huo wapo na wanatarajiwa kupata mafunzo jinsi ya kufanya utafiti huo ambapo mafunzo hayo yatafanyika kuanzia tarehe 18 mpaka 19 mwezi huu, aliyeko kulia katika picha ni Mr Adam Wamunza kutoka Mtandao wa Elimu Tanzania.
0 comments:
Post a Comment