MATUKIO KUTOKA MIKOANI MTWARA!!

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Anna Abdalla iliopo Wilayani Masasi mkoa wa Mtwara jana wakitumia usafiri wa baskeli kuelekea shuleni . Mkoa wa Masasi ni kati ya mikoa inayotumia sana usafiri wa baskeli katika shughuli mbambali za kijamii.
Picha na Mwanakombo Jumaa -MAELEZO
Kikundi cha sanaa kutoka Mueda Msumbiji kikitumbuiza wakati wa uzinduzi wa Daraja la Umoja lililozinduliwa na marais Jakaya Kikwete wa Tanzania na Emilio Guebuza wa Msumbiji.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment