KCB YAZINDUA TAWI JIPYA KATIKA JENGO LA HARAMBEE PLAZA!!

Mh.Seif Mohamed Khatib Waziri wa Nchi Ofisi ya makamu wa rais anayeshughulikia Muungano akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tawi 11 la benki ya Kenya Comarcial Bank (KCB) kati ya matawi 6 yaliyopo jijini lililopo katika jengo la Harambee Plaza Oysterbay jijini Dar es salaam leo, kulia ni Bw.Peter Muthoka Group Chairman wa KCB na kushoto kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya benki ya KCB Bw.Edmund Mndolwa.


Waziri Seif Mohamed Khatib akisoma risala kwa niaba ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa uzinduzi wa tawi la benki ya KCB lililopo Harambee Plaza Oysterbay.

Viongozi mbalimbali wakisubiri kuwasili kwa mgeni rasmi wakati wa uzinduzi wa tawi la benki ya KCB la Harambee Plaza.
Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo uliofanyika leo kwenye Jengo la Harambee Plaza jijini Dar es salaam

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment