Naibu Waziri wa Maendeleo ya jamii , jinsia na Watoto,Dkt Lucy Nkya (katikati) akitoa maelezo juu ya maadhimisho ya siku ya familia Duniani ambayo yatafanyika nchini kote kesho tarehe 15.5.2010. Waziri amesema anawaomba wazazi kwa siku ya kesho jioni kukaa pamoja na familia na kula chakula cha jioni pamoja kitu ambacho kitaifawafanya watoto pia kufurahia siku hiyo.
KESHO NI SIKU YA FAMILIA DUNIANI!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment