Mwanamuziki Sean Kingston Kutoka Marekani akisaini kitabu cha wageni wakati alipowasili katika ofisi za Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Tanzania Breweriers David Minja anayemuangalia mwanamuziki huyo kulia Sean Kingston yuko nchini kwa mwaliko wa TBL kwa ajili ya kukabidhi tuzo za Kiliamanjaro Music Award lakini pia kufanya onyesho kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee pamoja na washindi wa tuzo hizo zinazotarajiwa kutolewa kesho kwenye ukumbi huohuo Picha kwa hisani ya www.michuzijunior.blogspot.com
SEAN KINGSTON ATEMBELEA KIWANDA CHA BIA CHA TBL!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment