TIMU ya soka ya wanawake Twiga Stars jioni hii imewachapa bila huruma timu ya Eritrea magoli 8-1 mechi iliyofanyika kwenye uwanja wa Uhuru katika kusaka tiketi ya kucheza fainali za Afrika kwa wanawake zitakazopigwa Agosti mwaka huu nchini Afrika Kusini, hongereni sana akina dada wa Twiga Stars tuko pamoja sana.
TWIGA STARS YAIKANDAMIZA ERITREA 8-1 UWANJA WA UHURU.
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment