TAMASHA LA "PAUKWA 2010" LAFANYIKA MKOANI MOROGORO!!

Msanii Mrisho Mpoto ' Mjomba' alifuatilia kwa makini wimbo wake uliimbwa na mwanafunzi wa darasa la tano kutoka Shule ya Msingi Solomon Mahlangu , Araphat Segumba, akiimba wimbo wa 'mjomba' wakati wa Tamasha la Sanaa la Watoto ' Paukwa ' 2010 lililifanyika wikiendi hii mjini Morogoro. Wadhamini wakuu ni Daily News na Habari Leo.
(picha kwa hisani ya Michuziblog)
Umati wa wanafunzi wa kutoka shule 13 za Msingi Manispaa ya Morogoro, wafurahia onesho la Tamasha la Sanaa la Watoto' Paukwa' 2010. Picha zote na mdau John Nditi

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment