WAREMBO RBP WALIPOWAPIGA TAFU AKINA DADA WENZAO TWIGA STARS!!

Warembo wa RBP Miss Dar Inter College wakiwa mlimani city katika duka la vipodozi SHEAR ELLUSION tayari kwa maandalizi ya shindano litakalofanyika MEI 27 MWAKA HUU KATIKA UKUMBI WA BILlCANAS.

Baada ya kutoka kwenye duka la Shear Illusion waliekekea uwanja wa Uhuru kuipa tafu timu ya taifa ya akina dada wenzao Twiga Stars ambapo timu hiyo iliibanjua bila huruma timu ya Eritrea kwa magoli 8-1 huku ikishangiliwa vyema na warembo hao na mashabiki wengine waliojitokeza kwenye mchezo huo.

Warembo kumi na 15 watapanda jukwaani kuwania taji hilo ,wakisindikizwa na burudani kutoka kwa wasanii kutoka kundi la THT AMIN na BARNABA
wakijadili jambo katika duka la Shear Illusion Mlimani City

Hapa wakipata maelekezo ya matumizi ya vipodozi mbalimbali vinavyopatikana katika duka hilo



You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment